http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Mbunge Ataka Zanzibar Kuwa Mwanachama Afrika Mashariki

Mbunge wa Kojani, Hamad Salim Maalim (CUF) amehoji ni lini Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaruhusu Zanzibar kuwa na uwakili...

Mbunge wa Kojani, Hamad Salim Maalim (CUF) amehoji ni lini Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaruhusu Zanzibar kuwa na uwakilishi rasmi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Akiuliza swali leo bungeni katika kipindi cha maswali na majibu, mbunge huyo amedai hatua hiyo ni kwa kuwa mabadiliko ya 10 ya katiba ya Zanzibar yanaitambua Zanzibar kuwa ni nchi.

Akijibu swali hilo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Augustino Mahiga amesema Ibara ya pili (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 pamoja na mabadiliko yake imebainisha eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar. Pia ni pamoja na sehemu yake ya bahari ambayo Tanzania inapakana nayo.

“Naomba kulihakikishia bunge kuwa maslahi yote ya Zanzibar katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yanazingatiwa ipasavyo,” amesema Mahiga

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Mbunge Ataka Zanzibar Kuwa Mwanachama Afrika Mashariki
Mbunge Ataka Zanzibar Kuwa Mwanachama Afrika Mashariki
https://1.bp.blogspot.com/-3eT-onnwKW8/WsTSLlsUXWI/AAAAAAAAFGg/alfiWaw37qYEscPIW1KvUOX9LfIH2aVjwCLcBGAs/s400/1.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-3eT-onnwKW8/WsTSLlsUXWI/AAAAAAAAFGg/alfiWaw37qYEscPIW1KvUOX9LfIH2aVjwCLcBGAs/s72-c/1.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/mbunge-ataka-zanzibar-kuwa-mwanachama.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/mbunge-ataka-zanzibar-kuwa-mwanachama.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy