http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Mrisho Mpoto amjibu Steve Nyerere kuhusu Tuzo, ‘Punguza gubu ndugu’

Baada ya msanii Steve Nyerere kukosoa Tuzo za Filamu za Sinema Zetu International Film Festival Award (SZIFF) kwa kueleza kuna baadhi ya ...


Baada ya msanii Steve Nyerere kukosoa Tuzo za Filamu za Sinema Zetu International Film Festival Award (SZIFF) kwa kueleza kuna baadhi ya wasanii walistahili kupata na hawakuapa, Mrisho Mpoto amemjibu kuhusu hilo.
Msanii huyo wa nyimbo za asili amemkosoa vikali Steve Nyerere kwa kueleza kuwa si mzalendo na kumtaka kupuguza Gubu kwa kumueleza kuwa Tuzo hizo zilitolewa kwa utaratibu uliyowazi kabisa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mpoto ameandika;

    Steve Nyerere Mbona huna Jema ndugu? Uzalendo ni Hali ya Mtu kujitoa kufa na kupona Kwa maslahi ya wengi yenye Tija Kwa Taifa, nikakusikia kwenye vyombo vya habari unasema Uzalendo ni project yako, tena ukaenda Mbali zaidi ukasema nimedandia project yako kwa mbele, nikahisi tofauti kidogo: Kwakua kilikua kipindi cha jua kali kidogo.
Sasa hivi umeibuka na kuanza kuponda Tuzo za Sinema zetu ambazo ndiyo kwanza zinaanza ili kujaribu kurudisha Heshima ya filamu zetu ambazo wewe umechangia kufa kwake hauoni unakatisha tamaa watu wenye nia njema na Filamu? Ebu punguza gubu ndugu yangu angalau tuwe na kitu kimoja Chenye heshima cha kujivunia kwenye tasnia ya sanaa….ya uigizaji…
Zile Tuzo zilitolewa Kwa wenye Umiliki wa filamu na aliyewasilisha kwenye Mashindano na siyo anaeonekana sana kwenye Runinga…siyo lazima apewe unaemtaka wewe Stive. Najua kile kilikua kipindi cha jua, hiki cha mvua labda utanielewa kidogo…wadau na Mashabiki wa Bongo Movie msikatishwe tamaa.
Utakumbuka hapo jana Steve Nyerere alihoji ni kwanini Ray Kigosi, JB, Rich, Roams, Aunt Ezekiel, Shamsa Ford, Duma, Weru, Hemedi, Tausi Mndengela, Mainda, Johari, Uwoya, Marian Ismail na Batuli kutopatiwa tuzo.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Mrisho Mpoto amjibu Steve Nyerere kuhusu Tuzo, ‘Punguza gubu ndugu’
Mrisho Mpoto amjibu Steve Nyerere kuhusu Tuzo, ‘Punguza gubu ndugu’
https://2.bp.blogspot.com/-LG3oQU53lys/WsTa7VQRAVI/AAAAAAAAFHE/K5bgitOkBz44etyCt85LV0vLuzFQXQgTgCLcBGAs/s400/Bongo5-Steve-Mpoto.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-LG3oQU53lys/WsTa7VQRAVI/AAAAAAAAFHE/K5bgitOkBz44etyCt85LV0vLuzFQXQgTgCLcBGAs/s72-c/Bongo5-Steve-Mpoto.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/mrisho-mpoto-amjibu-steve-nyerere.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/mrisho-mpoto-amjibu-steve-nyerere.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy