http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Muigizaji maarufu nchini India, Salman Khan ahukumiwa jela miaka mitano

Salman Khan mwenye miwani akipelekwa gerezani. Muigizaji mkongwe nchini India, Salman Khan amehukumiwa kwenda jela miaka mitano baada y...

Salman Khan mwenye miwani akipelekwa gerezani.

Muigizaji mkongwe nchini India, Salman Khan amehukumiwa kwenda jela miaka mitano baada ya kukutwa na hatia ya kuua wanyama jamii ya swala miaka 20 iliyopita.
Leo Aprili 05, 2018 Mahakama Kuu mjini Jodhpur katika jimbo la Rajasthan nchini India imetoa hukumu hiyo baada ya kumkuta na hatia, huku waigizaji wenzake Saif Ali Khan, Tabu, Sonali Bendre na Neelam Kothari wakiachiwa huru baada ya kukutwa hawana hatia.
Salman Khan (52) alishtakiwa kwa kosa la ujangili kwa kuua wanyama hao (BlackBuck Antelopes) ambao ni wachache nchini India mnamo mwaka 1998.
Aina ya wanyama aliyowauwa Salman Khan

Kwa mujibu wa mtandao wa Daily Mail, Salman Khan alifanya tukio hilo katika kijiji cha Kankani wakati aki-shoot filamu yake ya Hum Saath Saath Hain akiwa na wasanii wenzake watano ambao wameachiwa leo.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Muigizaji maarufu nchini India, Salman Khan ahukumiwa jela miaka mitano
Muigizaji maarufu nchini India, Salman Khan ahukumiwa jela miaka mitano
https://2.bp.blogspot.com/-w6RzTUzFM4o/WsYeFX0o1tI/AAAAAAAAFHw/gyOGnnxvUKAEhDy8NT1nbreje7NHH36VACLcBGAs/s640/4AD71FC000000578-5580785-Heading_to_jail_Bollywood_actor_Salman_Khan_52_has_been_found_gu-m-24_1522920054033.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-w6RzTUzFM4o/WsYeFX0o1tI/AAAAAAAAFHw/gyOGnnxvUKAEhDy8NT1nbreje7NHH36VACLcBGAs/s72-c/4AD71FC000000578-5580785-Heading_to_jail_Bollywood_actor_Salman_Khan_52_has_been_found_gu-m-24_1522920054033.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/muigizaji-maarufu-nchini-india-salman.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/muigizaji-maarufu-nchini-india-salman.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy