http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Mwakyembe afichua siri ya kuweka nia

Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameweka wazi kwamba alikuwa tayari kuchukua mashindano ya Miss Tanz...


Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameweka wazi kwamba alikuwa tayari kuchukua mashindano ya Miss Tanzania kutoka kwa muandaaji Hashim Lundenga kwa madai kuwa kulikuwa na uhuni ulioanza kuigubika tasnia hiyo.
Akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Miss Tanzania Mpya chini ya Mkurugenzi wa The Look Company, Miss Tanzania 1998 Bi. Basila Mwanukuzi, Dk Mwakyembe amesema kuwa uhuni wa waandaji ulishamkwaza hivyo kwa kuwa mabadiliko yameangukia mikononi mwa Basila basi anaamini 'upele umepata mkunaji'.
Akizungumzia chanzo cha kutaka kuyaweka mashindano hayo kuwa chini yake kutoka kwenye kampuni ya Lino Agency, Waziri Mwakyembe amesema kwamba alikasirishwa na uhuni aliofanyiwa Miss Tanzania 2016 kwa kupewa zawadi ya gari hewa huku akiongeza kuwa mabinti wanajitoa kwa juhudi licha ya kuwepo kwa mfumo dume kwenye jamii.
"Watotot wa watu wanajitolea, mfumo wetu bado ni dume wanapata tabu sana kuishawishi jamii kuwa haya ni mashindano ya kawaida anapita kwenye chujio anashinda alafu unampa zawadi hewa. Basila mwenyewe aliwahi kupewa zawadi hewa kaeni naye vizuri atawaeleza. hivyo niseme mabadiliko haya yamenifanya nione kwamba upele umepata mkunaji" Mwakyembe.
Hata hivyo Waziri huyo mwenye dhamana ya sanaa amemtaka muandaaji huyo mpya (Basila Mwanukuzi) kuhakikisha anaondoa ubabaishaji wote uliokuwepo na kumuahidi kuwa serikali ipo nyuma yake.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Mwakyembe afichua siri ya kuweka nia
Mwakyembe afichua siri ya kuweka nia
https://2.bp.blogspot.com/-KN-3W2n2Lpw/WsojxSAAGCI/AAAAAAAAFKs/pMeVADqfxXsu4H0R4AkVWWfPs-FOpFROgCLcBGAs/s400/mwakywmbe%2BNia.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-KN-3W2n2Lpw/WsojxSAAGCI/AAAAAAAAFKs/pMeVADqfxXsu4H0R4AkVWWfPs-FOpFROgCLcBGAs/s72-c/mwakywmbe%2BNia.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/mwakyembe-afichua-siri-ya-kuweka-nia.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/mwakyembe-afichua-siri-ya-kuweka-nia.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy