Soundcloud

Nick Minaji ajiwekea rekodi ya pekee duniani

Msanii wa muziki kutoka nchini Marekani Onika Tanya Maraj  Nick Minaj amejiwekea rekodi ya aina yake katika mauzo ya albamu zake duniani.
Nick Minaj amekuwa rapper wa kwanza wa kike duniani kufikisha mauzo ya kopi zaidi ya milioni tano kwa kila albamu ambayo ameitoka.
Inaelezwa kuwa star huyo mwenye hit kibao ameuza kopi zaidi milioni 100 duniani kote.
Nick Minaj amekuwa rapper wa kwanza wa kike duniani kufikisha mauzo ya kopi zaidi ya milioni tano kwa kila albamu ambayo ameitoka. Inaelezwa kuwa star huyo mwenye hit kibao ameuza kopi zaidi milioni 100 duniani kote. Tangu mwaka 2014 Nick Minaj hajatoa albamu yoyote tangu pale alipotoa albamu yake ya tatu iliyokwenda kwa jina la The Pinkprint iliyotoka mwaka 2014. Albamu ya kwanza ilikuwa Pink Friday iliyotoka mwaka 2010 na ya pili ni Pink Friday: Roman Reloaded ilitoka mwaka 2012.

Post a Comment