http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Ofisi za makao makuu ya YouTube zavamiwa, Wafanyakazi wapigwa risasi (Picha)

Mwanaharakati mmoja wa wanyama nchini Marekani ametekeleza tukio la kisasi la kuwashambulia kwa risasi wafanyakazi wanne wa mtandao wa Yo...


Mwanaharakati mmoja wa wanyama nchini Marekani ametekeleza tukio la kisasi la kuwashambulia kwa risasi wafanyakazi wanne wa mtandao wa YouTube baada ya malalamiko yake mengi aliyokuwa akiwatumia kushindwa kufanyiwa kazi.

Mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina la Nasim Aghdam (39) mkazi wa California Jana Aprili 04, 2018 alitembelea Ofisi za Makao makuu ya YouTube mjini San Bruno na kufyatua risasi kwa kutumia bastola ambapo baada ya tukio hilo alijiua kwa kujipiga risasi mwenyewe.
Mtandao wa Washington Post umeeleza kuwa mwanamke huyo alitekeleza shambulizi hilo baada ya kutuma malalamiko yake kwa zaidi ya mara tano kuhusu mtandao huo kuwa unanyanyasa watumiaji wake na umekuwa na sera za kidikteta.
Nasima alianza kuulalamikia mtandao wa YouTube kwa kuposti mabango kwenye mitandao miingine ya kijamii akitaka watu waususie mtandao huo kutokana na sera zake za kidikteta.
Nasima alianza kuulalamikia mtandao wa YouTube kwa kuposti mabango kwenye mitandao miingine ya kijamii akitaka watu waususie mtandao huo kutokana na sera zake za kidikteta.
Mtandao wa YouTube umethibitisha taarifa hizo ambapo ulitangaza watu wanne kujeruhiwa vibaya na tayari wapo hospitali wakipatiwa matibabu.
Tayari Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa YouTube, Susan Wojcicki kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa pole kwa ndugu na jamaa waliyopatwa na tatizo hilo.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Ofisi za makao makuu ya YouTube zavamiwa, Wafanyakazi wapigwa risasi (Picha)
Ofisi za makao makuu ya YouTube zavamiwa, Wafanyakazi wapigwa risasi (Picha)
https://3.bp.blogspot.com/-z0jk9sIDWUM/WsSY2HiorQI/AAAAAAAAFE0/5dusCVSAb70ZGu7T6iQi_z71ctE4lEr8gCLcBGAs/s400/4ACE23DC00000578-5575105-Nasim_Aghdam_39_has_been_identified_as_the_woman_who_shot_a_man_-a-76_1522817529900.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-z0jk9sIDWUM/WsSY2HiorQI/AAAAAAAAFE0/5dusCVSAb70ZGu7T6iQi_z71ctE4lEr8gCLcBGAs/s72-c/4ACE23DC00000578-5575105-Nasim_Aghdam_39_has_been_identified_as_the_woman_who_shot_a_man_-a-76_1522817529900.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/ofisi-za-makao-makuu-ya-youtube.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/ofisi-za-makao-makuu-ya-youtube.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy