Soundcloud

Rais Magufuli amteua Mkemia Mkuu wa Serikali mpya

BREAKING:Leo April 3, 2018 Taarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikuku ni kwamba  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Fidelice Mbaruku Simbagungile Mafumiko kuwa Mkemia Mkuu wa Serikali.
Uteuzi wa Dkt. Mafumiko umeanza  April 3, 2018.
Kabla ya kuteuliwa Dkt. Mafumiko alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW)
Dkt. Mafumiko anachukua nafasi ya Prof. Samuel Manyele ambaye amemaliza muda wake.

Post a Comment