http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Tanzania: Viongozi wa chama cha Upinzani Chadema watarajiwa kuachiliwa kutoka kizimbani leo

Viongozi sita wa Upinzani nchini Tanzania wanatarajiwa kuachiliwa kutoka kizimbani baada ya kulipa dhamana, siku ya Alhamisi. Viongozi ...

Viongozi sita wa Upinzani nchini Tanzania wanatarajiwa kuachiliwa kutoka kizimbani baada ya kulipa dhamana, siku ya Alhamisi.
Viongozi hao wa chama cha CHADEMA, akiwemo mwenyekiti Freeman Mbowe, walishtakiwa kwa uchochezi ,kuleta vurugu na kuandamana mwezi wa Februari mwaka huu.
Alhamisi iliopita, mahakama ya hakimu mkazi Kisutu iliwapatia dhamana viongozi hao sita lakini kusema kuwa watasalia rumande hadi kesi leo tarehe 3 Aprili ambapo wataletwa mahakamani kukamilisha masharti ya dhamana.
Wanasiasa hao hawakuletwa mahakamani katika uamuzi wa dhamana yao huku afisa wa magereza akiiambia mahakama ni kutokana na gari lililotakiwa kuwasafirisha kuja mahakamani hapo kuwa bovu.
Miongoni mwa mashtaka waliyosomewa ni pamoja na maandamano yaliyosababisha kifo cha mwanafunzi wa chuo cha NIT Akwilina Akwiline.
Wanashtakiwa pia kuendelea kufanya mkusanyiko usio halali wilayani Kinondoni shtaka linalowakabili washtakiwa wote.
Hatua hii ya viongozi hawa kuendelea kusota rumande wakisubiria dhamana inaleta picha gani?
Akizungumza na BBC, mchambuzi wa maswala ya siasa Rashid Chilumba anaelezea kwamba kampeni ya kuwelenga upinzani katika awamu iliopo imevuka "mstari mwekundu"
"Viongozi wa upinzani wanapowekwa ndani haitoi taswira nzuri katika mwenendo wa siasa ya ushindani, hasa ukizingatia kwamba kume kuwa tayari na wasiwasi kuwa utawala unebana zaidi upinzani" alielezea Chilumba.
Wakati huo huo, Jeshi la polisi Tanzania, inaendelea kumshikilia mjumbe mwingine wa chama hicho Halima Mdee.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Tanzania: Viongozi wa chama cha Upinzani Chadema watarajiwa kuachiliwa kutoka kizimbani leo
Tanzania: Viongozi wa chama cha Upinzani Chadema watarajiwa kuachiliwa kutoka kizimbani leo
https://3.bp.blogspot.com/-0OINOPuq_z4/WsMt1sKv4fI/AAAAAAAAFBQ/sqKc8eieTe4W9QvevZM-3-xS60KyICt1gCLcBGAs/s400/_100625341_mbowe.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-0OINOPuq_z4/WsMt1sKv4fI/AAAAAAAAFBQ/sqKc8eieTe4W9QvevZM-3-xS60KyICt1gCLcBGAs/s72-c/_100625341_mbowe.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/tanzania-viongozi-wa-chama-cha-upinzani.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/tanzania-viongozi-wa-chama-cha-upinzani.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy