Soundcloud

TANZIA:Agenesi Gerald "Masogange"

Leo Tasnia ya Bongo Movie na Bongo Fleva imekumbwa na msiba wa mzito wa Agness Gerald Masogange ambaye amefariki leo Mchana katika hospitali ya Mama Ngoma jijini Dar es salaam.

Kwa mujibu wa taarifa za Dkt Rama toka katika Hospitali alipokuwa amelazwa Agness zinasema kuwa msanii huyo wa kupamba video za bongo fleva alifikishwa hapo kwa tatizo la pneumonia na upungufu wa damu.

Kama utakumbuka Agness Gerald Masogange aliwahi kutokea katika video ya wimbo wa Bell 9 "Masogange" itazame hapa......GEOFREY MEDIA INAWAPA POLE SANA WATU MASHABIKI NA WATU WOTE WALIOGUSWA NA MSIBA HUU.

Post a Comment