http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

TANZIA:Dj maarufu duniani Avicii afariki dunia akiwa na umri wa miaka 28

Mwanamuziki, DJ, na Mtayarishaji wa muziki kutokea nchini Sweden, Tim Bergling a.k.a. Avicii amekutwa amefariki leo April 20,  Ijumaa mch...


Mwanamuziki, DJ, na Mtayarishaji wa muziki kutokea nchini Sweden, Tim Bergling a.k.a. Avicii amekutwa amefariki leo April 20, Ijumaa mchana huko Oman, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa,amefariki akiwa na umri wa 28.

Taarifa ilikuwa inasomeka hivi;
“It is with profound sorrow that we announce the loss of Tim Bergling, also known as Avicii,” “He was found dead in Muscat, Oman this Friday afternoon local time, April 20th. The family is devastated and we ask everyone to please respect their need for privacy in this difficult time. No further statements will be given.”

Avicii ni mooja ya wasanii maarufu na wenye mafanikio katika mtindo wa electronic dance-music wa muda wote.Aliwahikutajwa na Forbes kwenye Top 5 “Highest-Paid DJs”.Alistaafu live performing mwaka 2016 akiwa katika peak ya mafanikio,huku sababu za kiafya zikitajwa  kama sababu ya kustaafu kwake. 

Vyanzo vya karibu vinasema kuwa Avicii amekuwa akiugua kwa muda mrefu sasa  ugonjwa wa acute pancreatitis, uliochangiwa na unywaji wa pombe ulopitiliza na mwaka 2014 alifanyiwa upasuaji wa appendix.

Mwaka jana kupitia website yake, Avicii aliandika;

“WE ALL REACH A POINT IN OUR LIVES AND CAREERS WHERE WE UNDERSTAND WHAT MATTERS THE MOST TO US.
For me it’s creating music. That is what I live for, what I feel I was born to do.
Last year I quit performing live, and many of you thought that was it. But the end of live never meant the end of Avicii or my music. Instead, I went back to the place where it all made sense – the studio.
The next stage will be all about my love of making music to you guys. It is the beginning of something new.
Hope you’ll enjoy it as much as I do.”


Kama utakuwa na kumbukumbu nzuri moja ya Track maarufu sana duniani na imekuwa ikichezwa katika disko na viwanja mbalimbali vya michezo ni "Don't wake me Up" itazame hapo chini....

   
 
            

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: TANZIA:Dj maarufu duniani Avicii afariki dunia akiwa na umri wa miaka 28
TANZIA:Dj maarufu duniani Avicii afariki dunia akiwa na umri wa miaka 28
https://1.bp.blogspot.com/-otrWGLLV-f4/Wto_UX5EyoI/AAAAAAAAFZI/r2hx9V7BmycJJXv9AQ__Fdxb-4TiWtmMQCLcBGAs/s640/avicii.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-otrWGLLV-f4/Wto_UX5EyoI/AAAAAAAAFZI/r2hx9V7BmycJJXv9AQ__Fdxb-4TiWtmMQCLcBGAs/s72-c/avicii.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/tanziamsanii-avicii-afariki-dunia-akiwa.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/tanziamsanii-avicii-afariki-dunia-akiwa.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy