http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Walichokiandika Rashford, Crouch na Ferdinand kuhusu bao la Ronaldo dhidi ya Juventus

Goli la pili la Cristiano Ronaldo alilofunga dakika ya 64 kwenye robo fainali ya UEFA usiku wa jana dhidi ya Juventus limeteka vichwa vin...


Goli la pili la Cristiano Ronaldo alilofunga dakika ya 64 kwenye robo fainali ya UEFA usiku wa jana dhidi ya Juventus limeteka vichwa vingi vya habari duniani hasa kutokana na style aliyofungia (Tiki Taka).
Sio mashabiki wa soka tu ambao wameonyesha kufurahishwa na bao hilo bali hata wachezaji wengine pia wamelikubali goli hilo ambalo beki wa Madrid, Dani Carvajal alisema bao hilo litabakia kwenye historia ya soka.Marcus Rashford, Peter Crouch na Rio Ferdinand wameandika ujumbe kupitia mtandao wa Twitter kuhusu bao hilo.
Marcus Rashford
Cristiano Ronaldo is a joke 😱 what a player! 🔥🔥🔥
Peter Crouch
There is only a few of us who can do that


Rio Ferdinand
Studio Action from last night… watching Greatness! Don’t be comparing @cristiano overhead kick to @waynerooney’s vs Man City which came of his shin… Morning Wazza!! 🤣🤣 @btsportfootball

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Walichokiandika Rashford, Crouch na Ferdinand kuhusu bao la Ronaldo dhidi ya Juventus
Walichokiandika Rashford, Crouch na Ferdinand kuhusu bao la Ronaldo dhidi ya Juventus
https://2.bp.blogspot.com/-t4U9-2pUK8s/WsTGwF9odQI/AAAAAAAAFGA/zEzVLoBJJpYePAXGPeJes76jGvGBQdLmwCLcBGAs/s400/DZ7qiv5WkAA6c_I.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-t4U9-2pUK8s/WsTGwF9odQI/AAAAAAAAFGA/zEzVLoBJJpYePAXGPeJes76jGvGBQdLmwCLcBGAs/s72-c/DZ7qiv5WkAA6c_I.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/walichokiandika-rashford-crouch-na.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/walichokiandika-rashford-crouch-na.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy