http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Fid Q aanza kazi rasmi TUMA ‘wasanii wanalipa kodi lakini kazi zao hazilindwi’

Ikiwa ni siku moja toka rapa, Fid Q ateuliwe na Chama Cha Muziki wa Kizazi Kipya nchini (TUMA) kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Fedha, Mipang...


Ikiwa ni siku moja toka rapa, Fid Q ateuliwe na Chama Cha Muziki wa Kizazi Kipya nchini (TUMA) kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Fedha, Mipango na Uchumi, ameanza kazi kwa kuwasilisha ombi la kutaka kutambuliwa na kuundiwa sera yake kwa sanaa ya muziki Bongo ili uweze kujitegemea.
Fid Q ametumia siku ya Wafanyakazi kutoa ombi hilo kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ikiwa ni siku moja tu tangu ateuliwe na Chama cha Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania (TUMA), kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Fedha, Mipango na Uchumi.
“Sanaa ni sekta rasmi hivi sasa lakini bado haijapewa sera na hiyo ni sawa na kuwa na ofisi isiyokua na KANUNI, TARATIBU wala SHERIA. Kwa ufupi bado tunaongozwa na sera ya utamaduni. Tunayofuraha kubwa ya kuitumia sikukuu hii ya wafanyakazi kwa kuikumbusha WIZARA na SERIKALI kwa ujumla kutuundia sera ili SANAA yetu iweze kuleta tija kwenye jamii. (Na katika hilo tunashauri RASIMU iandaliwe na WASANII wenyewe). ameandika Instagram..
Aidha Fid Q ameongeza kwa kusema wasanii wanalipa kodi kwa kazi zao za sanaa lakini kazi zao hazilindwi na serikali, kitu ambacho kinatishia usalama wa wao kuendelea kulipa kodi siku za usoni kwani hawatakuwa wanatengeneza faida.
“Imagine mtu unalipa kodo halafu kazi yako au bidhaa yako hailindwi? Utawezaje kulipa kodi hiyo huko mbeleni? #Meimosi njema waungwana – FK ( Mwenyekiti Wa Kamati ya Fedha, Mipango na Uchumi TUMA ),” aliongeza Fid Q.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Fid Q aanza kazi rasmi TUMA ‘wasanii wanalipa kodi lakini kazi zao hazilindwi’
Fid Q aanza kazi rasmi TUMA ‘wasanii wanalipa kodi lakini kazi zao hazilindwi’
https://3.bp.blogspot.com/-kWjkAcZw82U/WuiEZEI_RBI/AAAAAAAAFgU/-XShzr5gSFEHyyri9ebjhHjAAsqjFsWxgCLcBGAs/s640/Screen-Shot-2018-05-01-at-16.49.17.png
https://3.bp.blogspot.com/-kWjkAcZw82U/WuiEZEI_RBI/AAAAAAAAFgU/-XShzr5gSFEHyyri9ebjhHjAAsqjFsWxgCLcBGAs/s72-c/Screen-Shot-2018-05-01-at-16.49.17.png
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/05/fid-q-aanza-kazi-rasmi-tuma-wasanii.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/05/fid-q-aanza-kazi-rasmi-tuma-wasanii.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy