http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Hakutakuwa na Upungufu wa Sukari- Dkt Tizeba

Waziri    wa kilimo Mhe. Dkt. Charles Tizeba   Serikali imeagiza sukari kiasi cha tani 70,354.35 kutoka nchi za nje lengo likiwa...


Waziri  wa kilimo Mhe. Dkt. Charles Tizeba
 
Serikali imeagiza
sukari kiasi cha tani 70,354.35 kutoka nchi za nje lengo likiwa ni kujipanga
ili kuhakikisha kuwa hapatokei upungufu wa bidhaa hiyo hapa nchini.
 
Akizungumza na vyombo
vya habari hivi karibuni waziri  wa
kilimo Mhe. Dkt. Charles Tizeba amesema kuwa tani 60,539.35 ya sukari itaanza kuingia hapa nchini katikati ya mwezi
Mei 2018 ambapo kiasi kilichobaki cha tani 9,815 kitaingia mwezi  June mwaka 2018.
 
Aidha  Dkt. Tizeba amefafanua kwamba hakutarajiwi
kuwa na upungufu wa sukari hapa nchini
kwa sababu hadi kufikia tarehe 10 mei 2018 katika maghala ya wazalishaji
na wafanyabiashara  kulikuwa na tani 78,147.67
za sukari na kiasi kingine  tani 25,441.25
kipo Bandarini .
 
Kwa kiasi cha sukari
ambacho tayari kipo hapa nchini kikijumlishwa na kiasi ambacho kitaingia hivi
karibuni kutoka nje ya nchi ni dhahiri kwamba  nchi haiwezi kupata upungufu wa bidhaa hiyo,
alisema Mhe.Waziri.
 
Awali Dkt.Tizeba  alisema kwamba mahitaji ya sukari nchi nzima
ni tani 630,000 ambapo kati ya hizo, tani 145,000 ni kwa ajili ya matumizi ya
viwandani na tani 485,000 ni kwajili ya matumizi ya kawaida.
 
Hata hivyo mapitio
yanaonesha kwamba  msimu wa mwaka
2017/18  viwanda vya ndani vilizalisha tani
306,226  za sukari kwa matumizi ya
kawaida  ambapo mwisho wa msimu huu
uzalishaji umefikia tani 307,481.76 aliongezea Dkt. Tizeba.
 
Akimalizia taarifa yake
Mhe. Tizeba amebainisha kuwa kwa kiasi ambacho sukari imeagizwa kutoka nje
Pamoja na viwanda vya ndani inadhihirisha kwamba hakutakuwa na upungufu wa aina
yeyote ya sukari hapa nchini na ikizingatiwa  kuwa viwanda vitaanza uzalishaji mwingine
mwezi mei ambapo ukarabati (services ) itakuwa imekamilika .

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Hakutakuwa na Upungufu wa Sukari- Dkt Tizeba
Hakutakuwa na Upungufu wa Sukari- Dkt Tizeba
https://4.bp.blogspot.com/-GhLENz57yzg/WvhZI627cJI/AAAAAAAAFk8/w3t9QxWGtOELPLlwy8VmjMjke-1N8woBwCLcBGAs/s640/tzeba-1.gif
https://4.bp.blogspot.com/-GhLENz57yzg/WvhZI627cJI/AAAAAAAAFk8/w3t9QxWGtOELPLlwy8VmjMjke-1N8woBwCLcBGAs/s72-c/tzeba-1.gif
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/05/hakutakuwa-na-upungufu-wa-sukari-dkt.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/05/hakutakuwa-na-upungufu-wa-sukari-dkt.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy