http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Kiongozi Yanga amtetea Kelvin Yondan,Aituhumu Azam TV kwa upendeleo

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa klabu ya Yanga, Salum Mkemi amewacharukia Azam TV akiwalaumu kutokutangaza kitendo cha Kelvin Yondani kut...


Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa klabu ya Yanga, Salum Mkemi amewacharukia Azam TV akiwalaumu kutokutangaza kitendo cha Kelvin Yondani kutemewa mate wakati wa mchezo wa Yanga SC dhidi ya Singida United uliofanyika Uwanja wa Namfua.

Mkemi amehoji iweje Azam TV hawajatilia nguvu kutangaza tukio hilo huku akieleza kuwa wao na Simba baba  yao ni mmoja.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mkemi amewauliza Azam TV kuwa Camera zao zilikuwa wapi wakati tukio hilo linafanyika? Ina maana hawakuliona hilo?

"Kunya anye kuku tu @hajismanara  @tanfootball @azamtvtzHii haikushabikiwa wala hamkuitangza kwakuwa nyinyi na Simba baba yenu mmoja @azamtvtz hii kamera zenu haikuona siyo?." aliandika Mkemi.


Kauli hiyo ya Mkemi imekuja kuafuatia tukio la beki Yondani lililo gumzo hivi sasa mitandaoni kumtemea mate mchezaji, Asante Kwasi, katika mchezo dhidi ya watani zao wa jadi Simba uliopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi Jumapili.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Kiongozi Yanga amtetea Kelvin Yondan,Aituhumu Azam TV kwa upendeleo
Kiongozi Yanga amtetea Kelvin Yondan,Aituhumu Azam TV kwa upendeleo
https://4.bp.blogspot.com/-W28MTE1agXo/WuiG_-3BJ6I/AAAAAAAAFgo/_-Rv6VQecYsrMKlVkud_iieddcIDBXb3gCLcBGAs/s640/Capture.PNG
https://4.bp.blogspot.com/-W28MTE1agXo/WuiG_-3BJ6I/AAAAAAAAFgo/_-Rv6VQecYsrMKlVkud_iieddcIDBXb3gCLcBGAs/s72-c/Capture.PNG
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/05/kiongozi-yanga-amtetea-kelvin.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/05/kiongozi-yanga-amtetea-kelvin.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy