http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Mwanasayansi mwenye miaka 104 afanikisha azma yake ya kujiua

Hatim aye mwanasayansi wa Australia mwenye umri wa miaka 104, David Goodall ametimiza azma yake ya kujiua katika kliniki moja nchini Uswi...


Hatimaye mwanasayansi wa Australia mwenye umri wa miaka 104, David Goodall ametimiza azma yake ya kujiua katika kliniki moja nchini Uswisi leo.
Awali, mtaalam huyo wa masuala ya mimea na ikolojia alikuwa analalama kuwa amechoka kuishi, hivyo hana sababu ya kuendea kuishi. “Maisha yangu yalikuwa kwenye kwenye kazi, sasa siwezi kwenye nje kufanya kazi,” CNN ilimnukuu mzee huyo.
Kabla ya kusafiri kutoka Australia kwenda Uswisi ili asaidiwe kufa, alifanya harakati za kuhalalisha mtu kusaidiwa kufa lakini mara iliposhindikana, aliamua kwenda kwenye nchi ambayo sheria zinatoa haki hiyo na kliniki moja huko Basel ndiyo iliyosikia kilio cha kikongwe huyo.
Siku mbili kabla ya kufariki, mwanasayansi huyo aliiambia CNN kuwa imefika mwaka wa kumi sasa tangu alipoacha kusikia furaha na kinachomuuma zaidi ni kwamba mzee huyo hawezi kutembea huku akisumbuliwa na macho.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Mwanasayansi mwenye miaka 104 afanikisha azma yake ya kujiua
Mwanasayansi mwenye miaka 104 afanikisha azma yake ya kujiua
https://2.bp.blogspot.com/-vroI6xzw1j4/WvSxWN80R5I/AAAAAAAAFj8/knoym6b66FEvfBTLObAbRNoZbhV3ZIFBwCLcBGAs/s320/Screen-Shot-2018-05-10-at-19.04.44.png
https://2.bp.blogspot.com/-vroI6xzw1j4/WvSxWN80R5I/AAAAAAAAFj8/knoym6b66FEvfBTLObAbRNoZbhV3ZIFBwCLcBGAs/s72-c/Screen-Shot-2018-05-10-at-19.04.44.png
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/05/mwanasayansi-mwenye-miaka-104.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/05/mwanasayansi-mwenye-miaka-104.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy