http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Zinedine Zidane atangaza kuondoka Real Madrid

Meneja wa klabu ya Real Madrid, Zinedine Zidane ametangaza kuondoka Bernabeu ikiwa ni siku chache tu tangu kuipatia ubingwa wa klabu b...


Meneja wa klabu ya Real Madrid, Zinedine Zidane ametangaza kuondoka Bernabeu ikiwa ni siku chache tu tangu kuipatia ubingwa wa klabu bingwa barani Ulaya Jumamosi iliyopita na kuwa kocha wa kwanza kutwaa taji hilo mara tatu mfululizo.

Zidane mwenye umri wa miaka 45, ameiyongoza Real kutwaa taji lake la nne la klabu bingwa barani Ulaya ndani ya miaka mitano na huku ikichukua mara tatu mfululizo chini ya uongozi wake baada ya kuwafungwa Liverpool huko Kiev siku ya Jumamosi iliyopita licha ya Los Blancos hao kuishia nafasi ya tatu kwenye msimamo wa LaLiga.
Mfaransa huyo  aliyerithi mikoba ya Rafael Benitez  Mwezi Januari mwaka 2016 amekuwa katika shinikizo kubwa la kutwaa taji la La Liga ndani ya miaka yake miwili na nusu aliyokuwa akiiongoza Madrid.
Mwezi Januari mwaka huu, Zidane alithibitisha kusaini kandarasi ya miaka miwili ambayo ingemfanya kusalia hapo mpaka mwaka 2020 jambo ambalo amesema kuwa halina maana yoyote kwake.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Zinedine Zidane atangaza kuondoka Real Madrid
Zinedine Zidane atangaza kuondoka Real Madrid
https://1.bp.blogspot.com/-EGWTE0ldVzY/WxAAWD1Z9kI/AAAAAAAAFs4/YJC1KRWVtsEpuOm669Xqj7L7lRDLzJ6vgCLcBGAs/s640/ZZ.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-EGWTE0ldVzY/WxAAWD1Z9kI/AAAAAAAAFs4/YJC1KRWVtsEpuOm669Xqj7L7lRDLzJ6vgCLcBGAs/s72-c/ZZ.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/05/zinedine-zidane-atangaza-kuondoka-real.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/05/zinedine-zidane-atangaza-kuondoka-real.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy