Soundcloud

Ufaransa watwaa ubingwa kombe la Dunia 2018 Mjini Mosco.


Timu ya taifa ya Ufaransa yatwaa ubingwa wa mashindano ya Kombe la Dunia  huko Mosco,
Upande mwingine Modric ameshinda tuzo ya mchezaji bora. Tazama hapa washindi wengine

Adidas Golden Ball Award
🥇Luka MODRIC (#CRO)

FIFA Young Player Award
🥇Kylian MBAPPE ( France)
Adidas Golden Boot Award
🥇Harry KANE (#ENG)


Adidas Golden Glove Award
🥇Thibaut COURTOIS (#BEL)

Post a Comment